Mtunzi: James Makinda
> Mfahamu Zaidi James Makinda
> Tazama Nyimbo nyingine za James Makinda
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: James Makinda
Umepakuliwa mara 1,062 | Umetazamwa mara 3,185
Download NotaTULUJENGE KANISA LA MUNGU
Tulijenge Kanisa la Mungu aliyetujalia yote shime waamini,
hima sasa tukatoe [kwake Mungu] sadaka kwa Mungu mpaji wa uhai na uzima,
tulijenge Kanisa kwa kutoa sadaka x2
1.Tutoe kwa ukarimu sadaka iliyo safi kwake Bwana.
2.Maana ye apendezwa na unyofu wa mja wake mtolee.
3.Wasubiri nini sasa hima nenda mtolee Mungu wako.