Mtunzi: James Makinda
> Mfahamu Zaidi James Makinda
> Tazama Nyimbo nyingine za James Makinda
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: James Makinda
Umepakuliwa mara 2,861 | Umetazamwa mara 6,756
Download NotaKiitikio: Sadaka safi ikupendeze Ee Bwana tunakutolea
japo ni kidogo upokee mikononi mwako tunaleta
ni shukrani mbele yako ibariki itakase iwe safi
sana kama sadaka ya Abeli x2?
Mashairi. 1a)Mazao ya Nchi kazi ya mikono tunaomba upokee
b)Fedha mifukoni kazi ya kipato tunaomba upokee
2a)Tazama wanyama tunaleta pia tunaomba upokee
b)Mkate na divai vibariki Baba tunaomba upokee
3a)Vyote mali yako tunaleta kwako tunaomba upokee
b)Ni shukrani yetu kwa baraka zako tunaomba upokee