Ingia / Jisajili

BWANA AMETWAA

Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: alexander mwashemele

Umepakuliwa mara 240 | Umetazamwa mara 993

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ametwaa kilicho chake ,Nchi nzima kweli yazizima, Nchi nzima kjweli yazizima Ee Mungu tupe nguvu.*2 MAIMBILIZI 1. Taifa lako lalia lalia, Majonzi dunia yote kina mama wanalia ,watoto wanalia,Vijana nao walia,Wazee nao pia. 2.Japo nimapema Bwana umemchukua Baba yetu Magufuli tunaomboleza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa