Ingia / Jisajili

CHOZI LA MAMA MJANE

Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ROBERT BALAMA

Umepakuliwa mara 389 | Umetazamwa mara 1,638

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mama mjane ooh mama mjane mbona unalia unalia nini*2 Kwanza kabisa wamenifanya Jalala la kila baya mimi ninalia ninalia ninalia mimi mimi moyo wangu wa kusamehe watoka wapi Ee Mungu wangu *2 MASHAIRI 1.Ona ndugu zangu walivyo nitenga alipokufa Mume wangu ,wamenidhulumu mali zangu nimebaki nalalama nawatoto wa ngu Ee Mungu nisaidie. 2.Ona ooo-na oona ona ona chozi la damu oona ona ,Mateso haya yananisonga Mama mjane Mungu umebaki faraja yangu nakutegemea. 3.Watoto wangu bado niko nanyi nawategemea mnifariji Naomba ,Hekima,Ikae nanyi siku zote ili tuwashinde hawa watesi. HITIMISHO BAADA YA MJANE KUSAMEHE WATESI WAKE. Sasa nimetambua moyo wangu wakussamehe kuwa karibisha wageni nyumbani kuwaosha miguu watu wa Mungu kuwa saidia wenye taabu kutenda mambo mema ni sifa nzuri nashukuru Mungu waangu Hivyo niina Burudika,Burudika ,Burudika Nina burudika ndani yako Yesu ,Farijika ,Farijika Farijika ,Nina farijika ndani yako Yesu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa