Ingia / Jisajili  Changia

Nami Nimezitumainia Fadhili Zako

Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: alexander mwashemele

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 1,847

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

Nami nimezitumainia ,nami nimezitumainia fadhili zako ooh -moyo wangu naufurahie ,moyo wangu naufurahie wokovu wako ooh- moyo wangu naufurahie moyo wangu.*2

shairi

Naamu Nimwimbie Bwana ,kwa-kuwa amenitendea kwa ukarimu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa