Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 28 Mwaka C
BWANA AMEUFUNUA WOKOVU
Bwana ameufunua (funua) wokovu wake, machoni pa mataifa x2
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya / Kwa maana ametenda mambo ya ajabu / Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.