Mtunzi: Deogratias Rwechungura
                     
 > Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura                 
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 13
                    Wimbo huu unaweza kutumika: 
                                            - Katikati Dominika ya 14 Mwaka B
                                    
MACHO YETU HUMWELEKEA
Macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, hata atakapoturehemu x2
1. Nimekuinulia macho yangu wewe uketiye mbinguni/ kama vile macho ya watumishi/ kwa mkono wa Bwana zao