Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiFADHILI ZAKO
Fadhili zako, nitaziimba nitaziimba milele, Ee Bwana x2
1. Fadhili za Bwana nitaziimba milele/ kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako/ Maana nimesema fadhili zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako