Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mwanzo
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 941 | Umetazamwa mara 2,594
Download Nota Download MidiEe Bwana utege sikio lako unijibu X2 wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako anayekutumainiX2
1: Wewe bwana unifadhili mimi maana nakulilia wewe mchana kutwa.
2: Kwa maana wewe bwana u mwema umekuwa taayari kusamehe makosa