Ingia / Jisajili

Bwana Ameweza

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 9,430 | Umetazamwa mara 19,582

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Haya tazameni ninyi wenyewe Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Haya magumu yasiyofanyika Mungu wangu mwenye nguvu amentenda yote

    Ameweza huyo ameweza, ameweza huyo ameweza, Bwana Mungu kaweza huyo ameweza, yasiyowezekana huyo ameweza, yote ameyatenda huyo ameweza, Ameweza huyo ameweza yametimia 

  2. Maji yaliyomwagika kabisa Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Ameyazoa yakajaa upya Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  3. Katikati ya bahari ya sham Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Israeli kapita kwa muguu Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  4. Nilipofukiwa shimo la zege Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Kulipokucha kaniweka huru Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  5. Vilema vyangu nilivyomwonesha Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Amevigusa vikapona mara Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  6. Nitapaza sauti kilimani Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.
    Dunia yote isikie haya Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.


Maoni - Toa Maoni

Kipchoge Apr 24, 2022
Nzuri

Toa Maoni yako hapa