Ingia / Jisajili

Karamuni Kwa Imani (Yumo Humu)

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 17,450 | Umetazamwa mara 31,012

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Yumo humu mwokozi Yesu kwenye mzabibu na ngano tamu, ni mpole ni mwema ni uzima.

    Waumini simameni polepole (tena) kwa imani, jongeeni karamuni (mpate) mpate kumuonja mwokozi Yesu x 2
     
  2. Ekaristi, ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe, ndani yetu nasi ndani yake.
     
  3. Alitoa, jioni ile, kwa kumbukumbu, yake milele, tule tunywe wote tuokoke.
     
  4. Tugeuze, maisha yetu, yakafanane, na meza hii, huruma upendo msamaha.


Maoni - Toa Maoni

Martin Mutua Munywoki Dec 02, 2021
Score imefanyiwa marekebisho 2021, kwa waliokutana na changamoto kwa PDF ya mwanzo

Faustine Makishe Dec 19, 2020
Huu wimbo umenakiliwa kwa makosa, tena makubwa tuu hasa soprano

Simon K. Muchemi Oct 07, 2019
Pongezi ufundi wa wimbo wa mtunzi huu pamoja na watu wa review hasa kwa kulekebisha jina alilolitumia mtunzi kwa chorus

NDAYIZEYE Yves Mar 16, 2019
hongela sana waumini!!!

Kazungu Peter Jan 15, 2019
Wimbo mtamu lakini haujaratibishwa sawasawa

Josiah Ikuthu Dec 27, 2018
Wimbo mzuri lakini nadhani unahitagi review,, rest zimewekwa halo hazifai.

Antony Kisavi Sep 22, 2018
Great song

Toa Maoni yako hapa