Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo

Umepakuliwa mara 3,874 | Umetazamwa mara 7,757

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

VINCENT JOHN SANDAY Mar 14, 2024
Hongera madam unafanya vema,,mungu aendelee kukutia nguvu ili ufanye zaidi ya hapo

Jonas Ndaji Jun 22, 2022
Hongera madamu... Nimependa kazii yako.. ???

JOHN Feb 23, 2020
Tumsifu Yesu Kristu madam Edwiga nmefurahishwa Sana na upigaji wako wa kinanda japo natamani Sana angalau ningepata muda na Mimi nikaweza kufahamu...natokea mkoa wa Kilimanjaro parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu kanisa la Maua...hongera sana madam?

Andrew Milambo kashindye Sep 20, 2018
Madame yuko vizuri sana aendelee na kazi yake Amina

Andrew Milambo kashindye Sep 20, 2018
Madame yuko vizuri sana aendelee na kazi yake Amina

Toa Maoni yako hapa