Ingia / Jisajili

Bwana Asema

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ASEMA

Bwana asema Mimi ndimi wokovu wa watu x2 Katika shida yoyote wataniita, nami nitawasikiliza, nami nitakuwa Bwana wao hata milelex2

1. Nitakuhimidi, nitalisifu jina lako, daima milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa