Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiASTAHILI MWANAKONDOO
Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kupokea uweza, na utajiri, na hekima na nguvu na heshima, (utukufu na ukuu, una Yeye, hata milele na milele) x2
1.Na hukumu nayo haki, vyote vyake, milele na milele