Ingia / Jisajili

Bwana Asema Angalieni Nawatuma Kama Kondoo

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA ASEMA . ANDALIENI MIMI NA WATUMA KAMA KONDOO KATI YA MBWA MWITU X2 BASI IWENI NABUSARA KAMA NYOKA.NA KUWA WATU WA POLE KAMA NJIWA X2 (1). Jiadhalini na wanadamu.kwamaana watawapeleka Barazani.na katika masinagoni yao watawapiga.(2).Nanyi mtachukuliwa mbele ya mawaliwali na wafalme .kwaajili yangu Kuwa ushuhuda kwao mataifa.(3).Lakini hapo watakapo wapeleka barazani.msifikilifikili JINSI mtakavyosema.maana mtapewa saa ile mtakayo sena.(4).KWA Kuwa SI ninyi msemao Bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa