Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 870 | Umetazamwa mara 2,837
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
BWANA ASEMA MIMI NI WOKOVU
Bwana asema Bwana asema Bwana asema Bwana asema,
mimi mimi mimi mimi mi - mi - niwokovu wa watu x2.
1.Wakinililia katika taabu yoyote, nitawa - sikiliza milele.
2. Nami nami nitakuwa Bwana Bwana - wao, nitakuwa Bwana wao milele.
3. Mimi ndimi wo - kovu wokovu wa - watu, mi - mi- niwokovu wa watu.