Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 2,872 | Umetazamwa mara 6,881
Download Nota Download MidiUPOKELEWE MBINGUNI
Upokelewe ( ndugu) Mbi-nguni (Kwa Baba)Kwa Mungu (Uishi) Uishi naye milele. x2
1.(a)Si si wanadamu tuna si ku mbili (muhimu), Kuzaliwa na kufa kwetu Duniani.
(b)Kuzaliwa kwetu kunafurahisha (jamaa) , La kini kufa kwetu kunasikiti sha.
2.(a)Lakini - ndugu tukumbuke kuwa (pekee) , Hii ndiyo njia ya kwenda kwake Baba.
(b)Jamaa na Ndugu tuwe na I mani (ya ku wa), Ndugu yetu ameitwa nayeye Mungu.
3.(a)Ndugu na jamaa mliopo hapa (twaomba), Tumwombee tumwombee ndugu- yetu.
(b) Asa me - hewe na ku o ndo le wa (kabisa), Dhambi zake na Mungu a m po - ke e