Ingia / Jisajili

Bwana Asema Tazama

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 9,825 | Umetazamwa mara 19,562

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema, Tazama nasimama mlangoni na kubisha hodi x 2
Mtu akiisikia sauti yangu, na kufungua mlango
(nitaingia kwake nami nitakula pamoja naye na mimi pamoja nami) x 2

  1. Wale wanaoshinda nitawaketisha pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi.
     
  2. Kama nilivyoshinda nikaketi na Baba juu ya kiti chake cha enzi.
     
  3. Nanyi nawawekea ninyi ufalme, kama vile Baba yangu alivyoniwekea mimi.
     
  4. Mpate kula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, katika ufalme wangu.

Maoni - Toa Maoni

Phillip Sep 13, 2023
Nyimbo safi sana

Baloz Dkt Nicolaus Shabate Jul 25, 2017
Nampongeza Mtunzi Wa Wimbo AHuu John Mgandu Mungu Amjalie Baraka Tele Aendelee Na Wito Wake , Pia Kwa Wimbo Huu Namkumbuka Padre Ladislaus Bura Na Padre Damiano Wa Jimbo La Mbulu Pia Nawaombea Kwa Mungu Awajalie Maisha Marefu Kwa Mawasiliano 0782791709

samson cleverson Apr 09, 2017
napenda sana sana wimbo wa "Bwana asema tazama" naomba kama kuna uwezekano mnirushie kwa whatsapp kwa namba yangu hiyo hapo juu..!

Toa Maoni yako hapa