Ingia / Jisajili

Salamu Malkia

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,581 | Umetazamwa mara 12,864

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Salamu Salamu Malkia, Salamu Malkia wa mbingu leo tunakusalimu tunakuomba utusikilize x 2
Pokea sala pokea sala ee Mama utuombee kwa Mungu x 2

  1. Salamu Mama Malkia mwenye huruma uzima na tulizo na matumaini yetu Mama Salamu.
     
  2. Tunakusihi Mama tuko ugenini sisi wana wa Eva tunakulilia pia twalalamika.
     
  3. Tuko bondeni hapa kwenye machozi ewe Mama mpole, Ee Mama mwema mpendevu Bikira Maria.

Maoni - Toa Maoni

TITUS CHUWA Oct 13, 2020
SAFI

Godlove Benezeth Oct 06, 2019
Pongezi kwenu

Toa Maoni yako hapa