Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 31,584 | Umetazamwa mara 50,102
Download NotaNA J. MGANDU
Bwana Mfalme ameketi milele, (Bwana) atawabariki watu kwa amani x2
1. Atawala duniani na mbinguni toka mto hata kingo za dunia
2. Na wafalme wote wata mwabudia, mataifa yote yatamtumikia
3. Utawala utawala wa milele ni ufalme wenye kudumu milele