Mtunzi: Bernad Mwampamba
> Mfahamu Zaidi Bernad Mwampamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernad Mwampamba
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 347 | Umetazamwa mara 1,549
Download Nota Download MidiBwana atawabariki watu wake kwa amani x2 Mpeni Bwana enyii wana wa mungu mwabuduni Bwana Kwa uzuri wa utakatifu, mpeni utukufu wa jina lake mwabuduni bwana kwa uzuri wa utakatifu.
Beti
1. sauti ya bwana ijuu ya maji Bwana yu juu ya maji mengi
2. Sauti ya Bwana ina nguvu nyingi, sauti ya bwana ina adhama
3. Bwana ameketi juu ya ghariki Bwana ameketi hali ya mfalme mkuu