Mtunzi: Bernad Mwampamba
> Mfahamu Zaidi Bernad Mwampamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernad Mwampamba
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 747 | Umetazamwa mara 2,495
Download Nota Download MidiNimrudishie bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea, nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la bwana, nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea.
BETI
1. Inathamani machoni pa bwana mauti ya wacha mungu mungu wake
2. Ee Bwana mimi mtumishi wako umevifungua vifungo vyangu
3. Nitatoa dhabihu za shukrani nakulitangaza jina lake Bwana