Mtunzi: Bernad Mwampamba
> Mfahamu Zaidi Bernad Mwampamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernad Mwampamba
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 286 | Umetazamwa mara 1,614
Download Nota Download Midi(Bwana atawabariki) Bwana atawabariki watu wake atawabariki watu wake kwa amani x2
1. Mpeni Bwana enyi wana wa mungu mpeni bwana utukufu na nguvu, mpeni bwana utukufu wa jina lake
2.sauti ya Bwana ijuu ya maji bwana yu juu ya maji mengi, sauti ya bwana ina nguvu nyingi
3. sauti ya bwana yapasua moto sauti ya bwana hutetemesha hutetemesha jangwa jangwa lote
4. Bwana aliketi juu ya gharika bwana ameketi juu ya mfalme Bwana atawapa watu wake nguvu