Ingia / Jisajili

BWANA ATAWABARIKI WATU WAKE KWA AMANI(Zab 29)

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ubatizo | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 761 | Umetazamwa mara 1,836

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana atawabariki watu wake kwa amani. 1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu na nguvu, mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu. 2.Sauti ya Bwana i juu ya maji, Bwana yu juu ya maji mengi, sauti ya Bwana ina nguvu, sauti ya Bwana ina adhama. 3.Sauti ya Bwana yawazalisha ayala, na ndani ya hekalu leke wanasema wote, utukufu Bwana aliketi juu ya gharika, Bwana ameketi hali ya mfalme milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa