Ingia / Jisajili

SEMA NA MIMI BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 325 | Umetazamwa mara 1,658

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SEMA NA MIMI BWANA R/ Sema na mimi Bwana, sema na mimi, Sema na mimi Bwana, sema na mimi, sema na moyo wangu, chunguza nafsi yangu. 1.Ninaungama dhambi zangu ee Mungu, ninaomba unisikie Bwana. 2. Usinifiche uso wako ee Mungu, sina mwingine wa kukimbilia. 3. Nibadilishe nikufanane Mungu, ninaomba usinipite Bwana. 4.Wewe wajuwa kuishi kwangu Mungu, wazielewa Bwana njia zangu. 5.Wewe wajuwa nisiyo juwa Mungu, naja kwako Bwana unirehemu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa