Ingia / Jisajili

Bwana Atuita

Mtunzi: J. O. Mak Oluoch
> Mfahamu Zaidi J. O. Mak Oluoch
> Tazama Nyimbo nyingine za J. O. Mak Oluoch

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka

Umepakiwa na: Joseph Oluoch

Umepakuliwa mara 303 | Umetazamwa mara 794

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA ATUITA 1. Bwana atuita, twendeni sote kwake. Anatualika kwenye karamu yake. (Twendeni mezani, ameiandaa; tutashiba leo, pia tutaburudika.) X2 2. Mwili wake Bwana: chakula cha uzima. Damu yake Bwana kinywaji cha uzima. (Twendeni mezani, ameiandaa; tutashiba leo, pia tutaburudika.)X2 3. Meza imejaa zawadi ya uzima, aliyoitoa mwokozi wetu Yesu. (Mwili ni zawadi, damu ni zawadi. Tunaposhiriki tutaishi siku zote.)X2 4. Bwana alisema: “nawapa mwili wangu“ tena akasema “kunyweni damu yangu” (Walinung”unika, walilalamika! Sasa ni tiketi yetu ya kwenda mbinguni.)X2 5. Tunakitangaza kifo cha Bwana Yesu. Tunaukumbuka ushindi wake pia. (Alituagiza kufanya karamu, ili tukumbuke kwamba alitukomboa.)X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa