Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Amezaliwa

Mtunzi: J. O. Mak Oluoch
> Mfahamu Zaidi J. O. Mak Oluoch
> Tazama Nyimbo nyingine za J. O. Mak Oluoch

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Joseph Oluoch

Umepakuliwa mara 330 | Umetazamwa mara 960

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA YESU AMEZALIWA Bwana Yesu amezaliwa, tufurahi sote aleluya. Bethlehemu mji mdogo, amezaliwa mtawala. (X2) 1. Malaika wanaimba, utukufu kwa Mungu juu mbinguni; na amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema. 2. Herode kafadhaika kawatuma mamajusi ili wachunguze. Alitaka kuelewa apate kumwangamiza mtoto Yesu. 3 .Mwokozi amekuja kutukomboa wana damu kwa neema zake. Tumshukuru Mungu Baba kumtoa mwana wake atuokoe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa