Ingia / Jisajili

Umsifu Bwana Ee Nafsi Yangu

Mtunzi: J. O. Mak Oluoch
> Mfahamu Zaidi J. O. Mak Oluoch
> Tazama Nyimbo nyingine za J. O. Mak Oluoch

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Oluoch

Umepakuliwa mara 258 | Umetazamwa mara 570

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UMSIFU BWANA EE NAFSI YANGU Kiitikio Umsifu Bwana ee nafsi yangu X2 1.Bwana ndiye ashikaye uaminifu hata milele. Huwarudishia haki waliodhulumiwa. Huwapa wenye njaa chakula, Bwana huwafungua wafungwa. 2.Bwana huyafumbua macho ya vipofu, Bwana huwainua waliokandamizwa chini. Bwana huwapenda wenye haki, Bwana huwalinda wageni. 3.Bwana huwategemeza yatima na mjane, bali huipotosha njia ya waovu. Bwana atawala milele, Mungu wako, ee Sioni kizazi hata kizazi!

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa