Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 434 | Umetazamwa mara 2,033
Download Nota Download MidiBwana kwakuwa umenipenda mpaka upeo, kwakuwa umenipenda upeo (mpaka upeo ) nitakusifu x 2.
Mashairi:
1. Nitapaza sauti yangu kukuimbia, nitatoa sadaka njema ya kupendeza, nitaimba mimi nitaimba nitaimba nitashangilia.
2. Ulitoa uhai wako kunikomboa, ulibeba msalaba nipate kombolewa, Nitaimba mimi nitaimba nitaimba nitashangilia
3. Nitapenda wenzangu kama nijipendavyo, Nitatoa nafasi yangu kukuimbia, Nitaimba mimi nitaimba nitaimba nitashangilia
4. NItatenda matendo mema nikupendeze, Nitatubu makosa kila ninapokosa, Nitaimba mimi nitaimba nitaimba nitashangilia