Ingia / Jisajili

Bwana mungu amepaa

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 830

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana mungu amepaa kwa kelele za shangwe bwana kwa sauti ya baragumu Aleluyax2 (1)enyi watu wote pigeni makofi mpigieni mungu kelele kwa sauti ya ahangwe. (2)kwa sababu bwana Ni aliye juu mwenye kuogofya ndiye mfalme wa dunia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa