Ingia / Jisajili

Asante bwana yesu

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 309 | Umetazamwa mara 1,436

Download Nota
Maneno ya wimbo
Asante bwana yes tunakushukuru Sana(bwana) kwakutulisha mwili wako nakutunywesha damu yako( tunasema) Asante bwana yes tunakushukuru x2. SHAIRI 1) umetulisha mwili wako na kutunywesha damu yako tunakushukuru bwana Asante 2) mapenzi ulotuonesha nijaajabu Sana bwana tunakushukuru bwana Asante 3) wewe Ni nuru ya wokovu pia Ni ngao yetu bwana tunakushukuru bwana asante

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa