Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Gaudence Mtui
Umepakuliwa mara 5,081 | Umetazamwa mara 11,562
Download NotaFurahini enyi watu wote kwani leo kazaliwa. Furanhini enyi watu wote Mkombozi ametushukia x2
Twendeni nasi tukamwone, twendeni tukamsujudu pangoni huko betlehemu Mkombozi amezaliwa.