Ingia / Jisajili

Mungu Na Atufadhili Na Kutubariki

Mtunzi: Respiqusi Mutashambala Thadeo
> Tazama Nyimbo nyingine za Respiqusi Mutashambala Thadeo

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: respiqusi mutashambala

Umepakuliwa mara 3,007 | Umetazamwa mara 7,391

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu na atufadhili na kutubariki Mungu na atudadhili na kutubariki x2

1.       Njia yake ijulikane duniani wokovu wake katikati ya mataifa yote

2.       Mataifa na washangilie Naam waimbe kwa furaha maana kwa haki utawa hukumu watu na kuwaongoza mataifa walioko duniani

3.       Nchi imetoa imetoa imetoa mazao yake Mungu, Mungu wetu ametubariki Mungu atatubariki sisi, miisho yote ya dunia itamcha yeye


Maoni - Toa Maoni

goodluck Dec 29, 2016
ni jambo zuri kumtukuza mungu mana @ ndio jibu letu na njia yetu

Toa Maoni yako hapa