Ingia / Jisajili

Mbegu Nyingine Zikaanguka

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 113

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 15 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MBEGU NYINGINE ZIKAANGUKA KWENYE UDONGO MZURIX2 Zika me- ya Zika zaa. Zikame-ya zika zaa kwenye UDONGO MZURIX2 Zika zaa Zika mean fine. (1) Umeijilia nchi na kuistawisha. Mto wa Mungu umejaa maji Wawa ruzuku watu nafaka maana ndiwe uitegemezaye ardhi. (2).Maruta take waya jaza maji. Wapasawazisha palipoinuka. Wailainisha nchi Kwa manyunyu waibariki mimea take. (3).Umeuvika taji mwaka ya wema wako. Mapito Yako yadondo za unono uyadondiza malisho ya nyikani na vilima vya jifunga furaha. (4).Mama lisho ya mevikwa kondoo. Namabonde yamepambwa nafaka yanashangilia Naam Yana imba

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa