Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Amezaliwa

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 197 | Umetazamwa mara 1,008

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana yesu amezaliwa mkombozi waulimwengu Bwana yesu amezaliwa Betre hemu mkombozi.(1) nifuraha (2)Bwana yesu amezaliwa twimbe wore tumuimbie Bwana yes amezaliwa Betrehemu(nifuraha) 1.(duniani) 1.(a).Njoni wore tumuimbie ndiye yule tulimgoja kweli Bwana amezaliwa Betrehemu.(b)Amelala mle holini mtoto mpole na myenye kevu kweli Bwana amezaliwa Better hemu.2.(a) Nifuraha tumshangilie ndiye Bwana masia wetu kweli Bwana amezaliwa Better hemu.(b).Wachungaji nao wafika kumlaki mtoto yesu kweli Bwana amezaliwa Better hemu.3.(a) .Hakika ni furaha kubwa mbinguni pia duniani kwa sababu amezaliwa better hemu.(b).Tumshangilie mwokozi kwa makofi vigelege kweli Beans amezaliwa Better hemu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa