Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 35
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 32 Mwaka C
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
1. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza, hunihuisha nafsi yangu