Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 30 Mwaka C
KRISTO AMETUPENDA
Kristo ametupenda, (akajitoa kwa ajili yetu sadaka, na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato) x2
1. Amri mpya nawapeni, mpendane, kama vile nilivyowapenda ninyi, mpendane, mpendane