Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 29
Download NotaMACHO YANGU HUMWELEKEA BWANA
Macho yangu humwelekea Bwana daima, naye atanitoa miguu yangu katika wavu,
Uniangalie, na kunifadhili (maana) (maana, mimi, ni mkiwa na mteswa) x2
1. Katika shida za moyo wangu, unifanyie nafasi, na kunitoa katika shida zangu