Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: Gabinus Gidion
> Mfahamu Zaidi Gabinus Gidion
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabinus Gidion

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Zaburi

Umepakiwa na: Gabinus Gidion

Umepakuliwa mara 195 | Umetazamwa mara 349

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu X2 Mabeti 1. Kwenye malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu, kando ya maji ya utulivu huniongoza. 2. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwaajili ya jina lake. 3. Naam nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa kwa maana wewe upo nami gongo lako na fimbo yako vya niongoza. 4. Waandaa meza mbele meza mbele yangu machoni pawatesi wangu umenipaka mafuta kichwani pangu na kikombe na kikombe changu kinafurika. 5. Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa