Ingia / Jisajili

Nishangwe Leo

Mtunzi: Gabinus Gidion
> Mfahamu Zaidi Gabinus Gidion
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabinus Gidion

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gabinus Gidion

Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 433

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kengele za nena noeli X2 Bwana kazaliwa twimbe aleluya, Bwana kazaliwa twimbe aleluya Nishangwe leo Bwana kazaliwa Bwana kazaliwa twimbe aleluya. Mashairi; 1. Tuliona nyota yake mashariki nasi tumekuja kumsujudia. 2. Hodi wachungaji mtuambieni yuko wapi mtoto aliyezaliwa. 3. Hima waumini twende na zawadi tukamtolee mkombozi wetu. HITIMISHO: Hima Baba mama twende Bethlehemu pangoni, Kaka nawe dada twende Bethlehemu Pangoni, (Waamini wote twende Bethlehemu Pangoni(tukamwone Mtoto) aliyezaliwa (twende na zawadi) tukampe Bwana (tumwimbie Nyimbo nzuri) tukishangilia)X2 Shangwe na nderemo vifijo na makofi leo kazaliwa (Bwana) Mkombozi wetu X2.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa