Ingia / Jisajili

Tazama Anakuja Mtawala Bwana

Mtunzi: Gabinus Gidion
> Mfahamu Zaidi Gabinus Gidion
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabinus Gidion

Makundi Nyimbo: Epifania | Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: Gabinus Gidion

Umepakuliwa mara 232 | Umetazamwa mara 426

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama anakuja mtawala Bwana (Mwenye ufalme mkononi mwake, mwenye ufalme mkononi mwake na enzi)X2 1. Ee Mungu umpe mfalme hukumu yake na mwana wa mfalme haki yako. 2. Nawe na enzi kutoka Bahari hata Bahari, wakaao jangwani nawainame mbele yako.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa