Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 18

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka B

Download Nota
Maneno ya wimbo
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitux2 1.Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza, hunihuisha nafsi yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa