Ingia / Jisajili

Inuka Ndugu Twende

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 20

Download Nota
Maneno ya wimbo
INUKA NDUGU TWENDE Inuka ndugu twende, tukampe Bwana, Zawadi zetu leo, tukampe Bwana Tumshukuru kwa kutupa nafasi ya leo, Tumshukuru kwa mema yote ya wiki nzima Inuka ndugu inuka, tukampe Bwana, Inuka ndugu inuka, tukamshukuru. 1. Fedha ulizoziandaa tukampe Bwana, Pato katika biashara tukampe Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa