Mtunzi: D. A. Vyarance
> Tazama Nyimbo nyingine za D. A. Vyarance
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI
Umepakuliwa mara 3,265 | Umetazamwa mara 8,856
Download NotaYesu mwokozi wangu karibu moyoni mwangu nakukaribisha Bwana njoo ukae ndani yangu X2
Mwili wake Yesu chakula bora kwa uzima
Damu yako Yesu kinywaji changu cha uzima
Wewe ndiwe uzima wangu kaa ndani yangu nami nikae ndani yako x2
1. Shibisha roho yangu Ee Yesu wangu kwa mwili wako bora Yesu wangu nakukaribisha
2. Tuliza kiu yangu Ee Yesu wangu kwa damu yako bora Yesu wangu nakukaribisha
3. Zuia dhambi zangu Ee Yesu wangu katika oyo wangu Yesu wangu nakukaribisha