Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 27
Download Nota Download MidiNinakuja na sadaka yangu mbele zako Bwana uipokee uitakase iwe safi kama ile sadaka ya Abeli x2
1.Tunaleta mkate zao la ngano tuliyo ipata kwako twakuomba uyabariki mashamba yetu Ee Bwana
2.Tunaleta divai tunda la mzabibu tulopata kwako twakuomba uitakase na kutubariki Ee Bwana
3. Tukatoe sadaka zetu na nia zetu kwa Bwana mpaji wa uzima mpaji wa vyote tulivyo navyo
4.Kwa imani Abeli alimtolea Mungu sadaka safi iliyo bora na ile ya kumpendeza Mungu