Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 20
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka
Bwana amefufuka kwelikweli aleluya utukufu na ukuu unayeye hata milele x2
1.Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana tutaifurahia tuifurahie na kushangilie
2.Pasaka wetu amekwisha kutlewa kuwa sadaka tuifurahie karamu ya Bwana
3.Ametukomboa toka utumwani sasa tupo huru toka kifungo cha utumwa wa dhambi
4.Bwana Yesu Kristo kafufuka kwelikweli kashinda mauti nimzima Bwana kweli kafufuka