Ingia / Jisajili

Inuka Mkristo

Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 20

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Inuka ewe mkristo  jongea ukatoe sadaka yako,ukamshukuru Muumba wako kwa mengi aliyo kujalia, Ee Mungu nakutolea sehemu ya pato uliloni jalia, Fedha za mifuko ni mazao ya shamba Bwana nimekutolea, (nimekuja na sadaka yangu Bwana nakuomba uipokee)x2

Maimbilizi

1.Leteni zaka kamili ghalani ili kiwemo chakula nyumbani,mkanijaribu kwa njia hiyo asema Bwana wamajeshi (mjue) kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni (namimi) nitawamwagieni baraka kutoka mbinguni

2.Leteni sadaka mje mbele zake  mwabuduni Bwana, mpeni Bwana utukufu na nguvu mtukuzeni Mungu, (ee nduguI)  tukampe Bwana zawadi tutoe na nia zetu, Kwa unyenyekevu mkubwa (twaomba) upokee Baba

3.Tunaleta mkate zao la ngano ulizotujalia,divai tunda la mzabibu ee Baba upokee (ee Bwana) twaleta na mifugo na fedha  uzipokee,nimapato ya wanawako(twaomba) uyabariki Baba


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa