Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 2,202 | Umetazamwa mara 6,161
Download Nota Download MidiBWANA NI NURU YANGU
KIITIKIO:Bwana ni nuru ni nuru yangu Bwana ni nuru yangu na ngome yangu X2
MASHAIRI:
1.Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani Bwana ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani.
2.Bwana usi - kie kwa sauti yangu ni - na -li a unifadhili ee--- Bwana u - ni - jibu.
3.Usini fiche uso u -so- wako usijiepushe na mtumishi wako ee- Mungu wa wokovu wangu.
4.Naamini ya kuwa nitau-ona wema wa- Bwana katika nchi ya walio hai umngoje Bwana.