Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 659 | Umetazamwa mara 3,139
Download Nota Download MidiNINAKUSHUKURU MUNGU WANGU
Ninakushukuru Mungu wangu,ninakushukuru Mungu wangu,ninakushukuru Mungu wangu kwa pendo lako x 2
Ahsante Mungu wangu kwa pendo lako kubwa ninashukuru Mungu wangu,Mwili na roho yangu vipo salama kwako
ninashukuru Mungu wangu.
MASHAIRI
1.Umenilisha na mwili wako, asante Bwana,Bwana Mungu wangu.
2.Umeninywesha na damu yako,kinywaji cha kweli kutoka kwako.
3.Asante Bwana Mungu wangu,kunijalia matamanio yangu.