Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nuru Yangu

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 68 | Umetazamwa mara 145

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni nuru yangu, na wokovu wangu, Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu. 1.Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani, Bwana ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani. 2.Neno moja nimelitaka kwa Bwana nalo ndilo nitakalolitafuta nikae nyumbani mwa Bwana siku zote za maisha yangu niutazame uzuri wa Bwana nakutafakari hekaluni mwake. 3.Naamini ya kuwa nitauona nitauona wema wa Bwana katika nchi katika nchi ya walio hai umngoje Bwana uwe hodari upige moyo konde naam umngoje Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa